KARIBU SONGWE SUNRISE SECONDARY SCHOOL

Aerial view
Student examinations & lecture hall
Students studying
Computer Lab
Computer Lab
Computer Lab
Science Labarartory
Science Labaratory
Church adviser:Rev. Markus Rehner Welcomes you all

Shule ya Sekondari ya Songwe Sunrise yenye usajili wa namba 4752 inamilikiwa na kanisa la Uinjilisti Mbalizi lenye makao yake makuu Mbalizi Mbeya Tanzania. Ni Shule ya kutwa na bweni kwa jinsia zote ipo katika eneo la Songwe kilomita zipatazo 30 kutoka Mbeya mjini kandokando ya barabara kuu itokayo Mbeya kwenda Tunduma ama Zambia, mpakani mwa wilaya ya Mbozi na Mbeya vijijini, ndani ya wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya.
Shule ina toa mafunzo kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita ambapo kwa kidato cha tano na sita masomo yanayotolewa ni:
History Geography & Kiswahili – HGK
History, Geography & Language – HGL
History, Kiswahili & Language – HKL
History, Geography & Economics – HE
Economics, Geography & Mathematics – EGM

Mawasiliano: Barua pepe: sec.songwe@mec-tanzania.ch
Simu: 0755115278 au 0762393459