18 Responses to “Songwe Sunrise Secondary School – Downloads”

 1. admin
  February 18, 2017

  Habari Oscar. Tunaomba utumie barua ya pepe kwa sec.songwe@mec-tanzania.ch

 2. admin
  February 18, 2017

  Habari Mariana. Tunaomba utumie barua ya pepe kwa sec.songwe@mec-tanzania.ch

 3. admin
  February 18, 2017

  Habari Furahisha. Tunaomba utumie barua ya pepe kwa sec.songwe@mec-tanzania.ch

 4. admin
  February 18, 2017

  Habari Mendrad. Samahani kwa usumbufu. Tunaomba utumie tena kwa email hii: sec.songwe@mec-tanzania.ch

 5. FURAHISHA PATSON N
  January 1, 2017

  Hi. Head of school, deputy principal ,and other senior teachers . I’m a graduate from university of Dar er salaam (Bachelor of arts with education) specifically Economics and Political science looking a vacancy of teaching at your school. Economics, commerce and general studies at your school.

  l am very eager to perform the activities that benefit the school and public at large, my current employers are very satisfied with my work rate. current, I teach commerce (full time) Deeper Christian Life Ministry Grace Secondary School Bagamoyo since 2015 up to date, and Marian girls (part time) Bagamoyo.

  thanks for taking time to consider my request.

  your sincerely
  F.Patson

  0744716567 or 0672898622.

 6. Nixon K
  October 2, 2016

  what I believe is that Songwe Sunrise Sec. Schooll will be more competent in our Region.

 7. mendrad mtewele
  July 23, 2016

  helloo nimemaliza degree katika chuo kikuu Teofilo kisanyi University bachelor of arts with education (BAED) katika masomo ya Geography na History nimejitahidi kufuatilia shule yunu nimeona nishule nzuri na ina malengo ya kuwa saidia watanzania nimekuja mpaka shuleni hapo kwa bahati mkuu wa shule sijamkuta NILIKUWA NAOMBA NIJE NISHEE KNOWLEDGE KATIKA SHULE YENU CV ZANGU NISHATUMA KWA MKUU TAREHE 22 JULY 2016 ahsante.

 8. Oscar ndimbo
  June 7, 2016

  Je Kwa kua shule inamilikiwa na kanisa, ni ruksa Kwa mwanafunzi wa dhehebu lolote Kuja kujumuika na elimu itilewayo apo au haiwezekan?

 9. student
  March 4, 2016

  May the lord in heaven bless the evangelist church for providing us good and quality education.Be blessed teacher Samwel Sanga¨¨¨¨¨¨!!!!!!

 10. MARIANA BENJAMIN
  February 19, 2016

  I am a graduate in BA community Development and six years working experience in managment position,research work and training facilitaion.

  I am interested to work with you in any related position

  I am flexible to cope with new enviroment and any new working concept.

 11. Samwel
  December 31, 2015

  Hallow
  Thanks Mr Martin for visiting our Homepage, we are working very hard to have it online.

 12. Samwel
  December 31, 2015

  Habari Ndugu Alinani Silungwe
  Ahsante kwa kutembelea tovuti yetu ya shule, Tumekuwa kwenye maboresho ya tovuti yetu ndio maana hatujaweza kuweka taalifa zilizokamilika. ili kupata maelezo zaidi kuhusiana na shule yetu ya Songwe Sunrise tunaomba tutafute kupitia namba za simu zifuatazo
  1. 0762 393459 au
  2. 0755 115278

  AHSANTE

 13. martin paschal
  November 17, 2015

  plz may you update the application form for academic year 2016

 14. Alinan Silungwe
  November 13, 2015

  Mpendwa Samwel nilikuwa naangalia kwenye mtandao kujaribu kutafuta habari mbalimbali kuhusiana na shule yenu bahati mbaya sijapata. Kwa mfano shule ilianza lini, ina walimu wangapi na kwa upande wa mitihani ya kitaifa imekuwa iki peform vipi? Mungu awe pamoja nanyi

 15. Sadick issa
  August 10, 2015

  Hellow,I am a graduate of Bachelor of Arts with Education in St. Augustine University of Tanzania-Mwanza. I am a teacher of Literature and Kiswahili.My age is 24,i would like to share my teaching experience in your school.

 16. Samwel
  May 15, 2015

  Hi Tumpe, tunakushukuru kwa kutembelea tovuti yetu. Tulikuwa na zoezi la kuajili walimu wapya mwezi wa pili mwaka huu hivyo nafasi zote kwa sasa zimeshajaa tukuombe tutakapokuwa tunatangaza tena tutakujulisha. endelea kutembelea tovuti yetu

 17. TUMPE
  May 12, 2015

  naomba kazi ya kufundisha KISWAHILI na CIVICS. Nina shahada na stashahada ya ualimu na uzoefu wa miaka 10 . Asante.

 18. Mkonongo Laurent
  January 25, 2015

  Serve GOD……… what I believe is that our school will be more competent but to archive a such thing we must start early to improve the environment that can lead us to our goals by alot of teachers especially in science and quality laboratory and other learning materials.
  SUCCESS IS ON OUR HAND THROUGH JESUS NOTHING IMPOSSIBLE.


Leave a Comment