GHARAMA ZA VIINGILIO
KUONA WANYAMA KWENYE VIZUIZI (MABANDA)
Mtu mzima ……….…………….……..…..Tsh 2,000/=
Mwanafunzi (Sekondari) .…..…….…..Tsh 1,500/=
Mwanafunzi ( S/Msingi) ……………….Tsh 1,000/=
Mtoto anayetembea …….….………..…Tsh 1,000/=
KUONA WANYAMA MAENEO YA WAZI/BONDENI KWA KUTUMIA USAFIRI
Ongezeko …………………….……….…….Tsh 3000/=
KUINGIA MAKUMBUSHO
Mtu mzima ………………….……………..Tsh 2,000/=
Mwanafunzi (Sekondari) .……..……..Tsh 1,500/=
Mwanafunzi ( S/Msingi) ………..…….Tsh 1,000/=
Mtoto anayetembea ……….……..……Tsh 1,000/=
NB: Gharama zinaweza kubadilika wakati wowote