Entry Examinations Chuo cha Ufundi

Event Date: November 22, 2014 Time: Location: Chuo cha Ufundi Mbalizi
Address:

3 Responses to “Entry Examinations Chuo cha Ufundi”

 1. Godfrey
  January 9, 2017

  samahani nilikuwa naitaji application form

 2. Samwel
  December 31, 2015

  Habari Elizabeth Robert.
  Tunashukuru kwa kutembelea tovuti yetu. Chuo chetu cha ufundi Mbalizi kinatoa mafunzo ya ufundi katika fani zifuatazo
  -Motorvehicle mechanics
  -Auto electrical
  -Carpentry and Joinery
  -Computer and
  -Driving
  Hatuna mafunzo ya Community Health kama ulivyosema, hivyo basi tunakuomba uangalie vizuri tovuti ya chuo uliyotumia.

  AHSANTE

 3. ELIZABERTH ROBERT
  September 19, 2015

  Naitwa Elizaberth Robert nilifanya application ya certificate in Community Health naomba munitaalifu mapema kama nimechaguliwa ili niweze kufanya maandalizi ya ada au kama sijachaguliwa niweze kutafuta utaratibu mwingine mapema


Leave a Comment