SONGWE SUNRISE HIGH SCHOOL TUMEANZA KUPOKEA WANAFUNZI WA PRE FORM ONE AMBAPO TUNAFUNDISHA SOMO LA KIINGELEZA NA KOMPYUTAMITIHANI YA USAILI KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 INAFANYIKA KILA SIKU YA JUMAMOSI SHULENI SUNRISE SONGWE