MTIHANI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA – SUNRISE SEC. SCHOOL SONGWE
Fomu za kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza Sunrise Secondary School Songwe zimeanza kutolewa na zinapatikana katika maeneo yafuataya:
- Makao makuu ya kanisa la uinjilisti Mbalizi ( Kwa lehner)
- Chuo cha uuguzi na ukunga Ifisi
- Karibuni Center (Magorofani Mbeya mjini)
- Shuleni Sunrise Secondary School – Songwe
Fomu zinapatikana kwa gharama ya shilingi 10,000/= na usaili utafanyika tarehe 23/11/2013 siku ya Jumamosi saa tatu asubuhi shuleni Seunrise Secondary School Songwe.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
No Response to “MTIHANI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA – SUNRISE SEC. SCHOOL SONGWE”